03.03.2012 JOHN
RWEKANIKA BUKOBA
Juhudi za mkuu wa mkoa wa Kagera Bwana Fabian Masawe za
kutunz mazingila kwaajiri ya kusafisha mji zinazoendelea kuzaa matunda ,
Tangu mkuu wa mkoa ateuliwe kuwa mkuu wa mkoa wa kagera
pamoja na mambo mengine lakini pia amesimamia zoezi la kusafisha mji kila siku
ya Alihamisi
Juhudi hizi zilienderea kwa wakazi wa manispaa ya BUKOBA
baada ya kuu wa mkoa kuongoza maafisa waandamizi na mkuu huyo kuungana na
wananchi mtaani akiwa anashiliki shuguli za usafi ,jambo ambalowakazi wa
manispaa ya bukoba hawajalizoea .
Mji wa manispaa ya bukoba uko kandokando ya ya ziwa
vickitoria ,hivyo karatasi za prastiki zikitupwa ovyoovyo huingia moja kwa moja
ziwa vickitoriajambo ambaloni hatari kuleta madhara katika ziwa vickitoria .
Shughuli za kufanya usafi kila Alihamisi haziishi katika
manispaa ya BUKOBA tu bali ni zoezi endelevu katika ngazi za wilaya ,kata na
vijiji .
Zoezi hili likiendelea linaweza kujenga utamaduni mzuri
wautanzaji mazingira nakuweza kuepusha hatali ya mabadiliko ya tabia ya nchi
ambavyo kwa mwaka juzi nvua tulizopata katika kipindi cha vuli azikutosha,Jambo
ambalo limeperekea wakazi walio zunguka manispaa ya bukoba kukabiliwa na
upungufu wa chakula .
Hata hivyo changamoto inayo inayokabili zoezi hili katika
ngazi za kata vijiji na vitongoji bado
utekelezaji wake unasuasua kutokana na undaji wa ngazi hizo kutolitilia manani
kiutendaji labda nikwakutotambua umuhimu wake ,
Mkuu wa mkoa bwana FABIAN MASAWE amehamia mkoani kagera
baada ya kuteuliwa na mheshimiwa raisi kuwa mkuu wa kagera ambavyo alikuwa mkuu wa wilaya ya KARAGWE ,
No comments:
Post a Comment